+255 755875778
Fax:
Address:
St.Amedeus Secondary School
Po Box 1916
Kilema - Mandaka Road Moshi,
Kilimanjaro - Tanzania
ST ANEDEUS SECONDARY SCHOOL
Motto: "Brave, skilful competence, Crown
Vision: "Holistic education and Development of character"
MAKOSA YANAYOWEZA KUSABABISHA KUFUKUZWA SHULE MARA
-
Wizi
-
Utoro
-
Uasherati, ubakaji na ushoga
-
Ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya
-
Uvutaji wa bangi
-
Makosa ya jinai
-
Kuharibu kwa makusudi mali ya umma
-
Kugoma, kuchochea na kuongoza au kuvunja amani na usalama
-
Kukataa adhabu kwa makusudi
-
Kukutwa na simu au line
-
Kudharau bendera ya Kanisa / Taifa
N.B.
1. Shule yetu hairuhusiwi wanafunzi kutunza fedha wao wenyewe. Fedha
zote za matumizi binafsi (“Pocket money”) huwekwa benki na kutolewa
kuendana na matumizi ya mhusika.
-
Hairuhusiwi kuingiza vyakula shuleni wakati wowote: ikilazimu leta kwa
wanafunzi wote.
3. Kutembelea watoto ni mara mbili kwa mwaka; yaani muhula wa kwanza
ni Jumamosi baada ya Pasaka na Muhula wa pili siku ya wazazi/mahafali
(graduation). Wakati mwingine hairuhusiwi
MALIPO NA MAHITAJI MENGINE
Malipo yote ya ada na pocket money yafanywe BENKI na kuwasilisha Pay-in-slip iliyoandikwa majina MATATU sahihi ya mwanafunzi na kidato. Hatupokei fedha mkononi tofauti na zile za vifaa vya madarani(stationary)
N.B. Fedha ikishalipwa benki hairudishwi.
AKAUNTI YA ADA:
Jina: CRDB
Jina la Akaunti: “Dom-ST. AMEDEUS SECONDARY”
Namba ya Akaunti: 01J1041434600
Tawi: Moshi Branch
AKAUNTI YA POCKET MONEY
Jina: CRDB
Jina la Akaunti: ST. AMEDEUS SECONDARY SCHOOL
Namba ya Akaunti: 0150041434600
Tawi: Marangu Branch